Mbu, Dumating ka na! | Ubongo Kids + Malaria No More Sing-Along

Mbu, Dumating ka na! | Ubongo Kids + Malaria No More Sing-Along

Mbu, Dumating ka na! | Ubongo Kids + Malaria No More Sing-Along

InglesIngles
Taon

2016

Tagal

2m

Genre

Ingles

Imba na Mama Ndege, Toto Tembo, Kiduchu na wenzao kuhusu kujikinga na Malaria. Angalia webisode za msimu wa pili wa Ubongo Kids hapa hapa! Ubongo Kids Webisode 32 - "Jeshi la Mbu" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1! Jifunza kuhusu viungo vya mwili kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon! Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Maaari Mo Ring Magustuhan